mtwaranaturalhairclinic
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mtwaranaturalhairclinic, Beauty, cosmetic & personal care, Mikindani, Mtwara.
08/08/2026
We Love You Anna😍
I am so proud of you my girl 😍🤗
Enjoy your day our very own shampoo girl 😍😍😍🤗
Hello dear Naturalista 👋
Karibu uongeze muonekano mzuri wa nywele zako za asili na hair colour kutoka kwetu kwa bei rafiki kabisa.
💯
Hello dear Naturalista 👋
Tunaomba uamini nywele za mwanao nasi, kuwa tutazitunza na kuhakikisha zinakua katika njia salama huku tukitumia products Salama kwa mwanao. 📌📌🤗🤗
Pia tunaendelea kukusihi kuepuka yafuatayo kwenye nywele za mwanao;
• Kusuka kwa kuvuta sana❌
• Relaxer na chemicals nyingine❌
• Hair dye/rangi za nywele❌
• Joto kali (blow dryer, flat iron)❌
• Gel zenye alcohol nyingi❌
• Mafuta yenye manukato makali❌
• Shampoo kali zinazokausha nywele(zenye sulphur)❌
• Kuacha nywele bila moisture❌
• Hairstyles zinazodumu muda mrefu sana k**a dreadlocks, sisterlocs ❌
✨ Nywele za watoto zinahitaji upole, unyevu na ulinzi zaidi kuliko styling. ✅ ✅ ✅
💯
18/07/2026
Fake twists ndogondogo pia ni nzuri sana… umewahi kujaribu?🌚
Karibu leo Tupo wazi kukuhudumia🤗
💯
04/07/2026
Hello dear Naturalista 👋
Karibu uhudumie nywele yako Leo nasi TaDa Natural Hair™ since 2021
Tupo wazi Leo
Karibu sana🤗
💯
13/06/2026
Hello dear Naturalista 👋
Hizi ni knotless za Uzi… nzuriiii hii style… inapendeza, inavyochakaa ndio inavyozidi kupendeza zaidi… ni protective style so your natural hair won’t get damaged 🤗🥰
Karibu Leo Tuko wazi hatuna foleni kabisa
Ofisi zetu za TaDa Natural Hair™ since 2021 Zipo Nangwanda tunatizamana na Busati lodge
Tupigie 0625996568 Kwa mawasiliano zaidi
💯
12/06/2026
MPANGO WA MUDA MREFU BILA KUFIKA SALON MARA KWA MARA🥰🤗
📌Microtwists
💯
10/06/2026
Hello dear Naturalista 👋
Likizo hii wape watoto wako wa k**e nafasi ya kupendeza kwa urembo wa asili, nadhifu na wenye comfort kutoka
Epuka kuwasumbua watoto kwa misuko inayoumiza k**a mirasta yenye mvuto mkali kichwani 😢
tunawatengenezea styles nzuri, laini, za kisasa na zinazolinda nywele zao za asili💯, 💯
Mlete mtoto wako salon apendeze akiwa happy, confident na comfortable 🥰
💯
08/06/2026
Hello dear Naturalista 👋
This holiday tupo wazi kuwahudumia watoto wetu kwa upendo❤️… Tunasuka nywele zikiwa mbichi/unyevu, halafu hatuchani nywele📌
Kwahiyo watoto wetu hawaumii na wanapendeza vizuri kabisa💯… Karibu
Tupigie 0625996568
01/06/2026
Goodmorning our dear Naturalista 👋
K**a unafanya zako skincare from wewe ni acne prone na hutaki kugusisha nywele usoni unaweza kusuka jibu kuepusha mafuta usoni…
Tupo wazi Leo hadi saa moja jioni. Karibu sana.
Tupigie 06259965
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mikindani
Mtwara