Afya Kwanza Herbal

Afya Kwanza Herbal

Share

NI KITUO CHA KUTOA HUDUMA MBALI MBALI ZA KIAFYA TUPO DAR ES SALAAM KARIAKOO MTAA WA MAFIA NA NYAMWEZ

21/10/2022

HONEYMOON ni Asali ya Kifalme kutoka nchi ya TURKEY Imekuwa msaada mkubwa kwa wanaume wengi wenye shida ya kumaliza haraka tendo na kushindwa kurudia,

Inasaidia afya ya uzazi kwa wanaume;
1. Kuweka mishipa na misuli ya TANGO imara iliyoathirika na punyeto (marsterbation) vyakula vya kisasa (Artificial foods) msongo wa mawazo (stress) na magonjwa k**a tezi dume, presha na kisukari, n.k

2. Kuboresha msukumo wa damu kwenye mfumo wa moyo, figo, na mishipa ya TANGO.

3. kuweka sawa kiwango cha mbegu (s***m count)

4. Kurudia tendo mara nyingi utakavyo

5. Kumudu tendo kwa muda mrefu bila kuchoka.

6. Kuongeza hamu ya tendo kwa wanawake na wanaume

N.B tiba hii niyakudumu sio chungu wala kali.
Dose moja ni 100,000/- ambayo hutumika ndani ya siku hamsini na matokeo yake huanza kuonekana ndani ya masaa sita ijaribu leo upate matokeo ya uhakika.

Mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia
+255 679 711 190 📞
By; Dr Jawadu F Mugisha ✍🏿

Photos from Afya Kwanza Herbal's post 21/10/2022

ETUMA V.I.P ROYAL HONEY Imekuwa msaada mkubwa kwa wanaume wengi wenye shida ya kumaliza haraka tendo la ndoa na kushindwa kurudia,Na wale wenye maumbile madogo Inasaidia afya ya uzazi kwa wanaume;

1. Kuweka mishipa na misuli ya tango lako imara iliyoathirika na punyeto (marsterbation) kutokana na vyakula vya kisasa (Artificial foods) msongo wa mawazo (stress) na magonjwa k**a tezi dume, presha na kisukari, n.k

2. Kuboresha msukumo wa damu kwenye mfumo wa moyo, figo, na mishipa ya tango.

3. kuweka sawa kiwango cha mbegu (s***m count)

4. Kurudia tendo mara nyingi utakavyo

5. Kumudu tendo kwa muda mrefu bila kuchoka.

6. Kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume tu.

7. Kukuza tango kwa kuongeza urefu wa inches 2 na upana wa inches 1 na kuongeza presha ya kutosha kwenye mishipa damu ya tango lako

N.B: Tiba hii niyakudumu sio chungu wala kali, hutumiwa na wanaume wa aina zote hata wale wenye maradhi ya Kisukari, Presha,Bawasir na Tezi dume huwasaidia sana kuweza kuperform vizur ktk tendo la ndoa.

Etumax V.I.P ni Tsh 200,000/- DOSE KAMILI
Honeymoon ni Tsh. 100,000/- DOSE KAMILI

Tunapatikana Daresalaam kariakoo mtaa wa mafia na nyamwezi stand ya mabibo
Simu NAMBA 0679711190 📞

Mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia +255755411190
By; Dr. Jawadu Mugisha ✍🏿

13/10/2022

FAHAMU UMUHIMU WA MADINI YA CALCIUM KATIKA MWILI WA BINADAMU.

Madini ya Calcium yanapatikana mwilini ni 2% ya uzito wako. 99% inapatikana kwenye mifupa na meno. Na nyingine inapatikana kwenye nerve cell, damu, body tissues na majimaji ya mwilini.
Ni madini yanayosaidia kuimarisha meno na mifupa lakini pia hufanya kazi zingine k**a
🔹Kusaidia damu kuganda
🔹transmission of nerve impulses(umeme wa mwilini)
🔹Kusaidia misuli kufanya kazi
🔹kuchochea kutoa hormones k**a Insulin
🔹Husaidia kazi za mfumo wa Cardiovascular(moyo)

Bidhaa ya zaminocal ni muhimu kutumika kwa sababu calcium inatabia ya kupungua mwilini siku zinavyokwenda na vyakula vingi na udongo mwingi hauna Calcium ya kutosha.
Inapungua zaidi sababu ya kuzaa, unywaji wa pombe, hedhi, kula vyakula vya sukari sana, matumizi ya Soda, Caffein, uzee, matumizi ya madawa ya antibiotic k**a gentamicin and tobramycin.

Zaminocal ina , CALCIUM,AMINO ACID, ZINC

ZINC
Miili yetu ina gram 2-3 za Zinc kwenye skeletal muscles and bones. Pia kwenye figo,Kongosho, Macho-Retina,Meno,Nywele,Kucha,Ngozi, Ini, blood cells, prostate, and te**es.

Zinc inatumika katika kazi za cellular metabolism. Inahitajika katika catalytic activity ya zaidi ya enzymes 100 na inafanya kazi katika kinga ya mwili , protein synthesis, kuponya vidonda, DNA synthesis, and mgawanyo wa seli.
Zinc pia inasaidia ukuwaji mzuri wa mtoto tumboni, akizaliwa na kwa wakubwa husaidia sense ya ladha na harufu.

Dalili za upungufu wa Zinc:
1️⃣Upungufu wa hamu ya kula,
2️⃣Upungufu wa damu,
3️⃣Vidonda kuchelewa kupona,
kukatika nywele na kucha

KWA UJUMLA ZAMINOCAL INA UMUHIMU MKUBWA SANA KWA AFYA YANGU NA YAKO

Wasiliana Na Dr. Jawadu Mugisha
+255 755 411 190 📞

AFYA KWANZA HERBAL CLINIC TUNAJALI AFYA YAKO

13/10/2022

Gout Ni Nini?
Gout ni namna moja ya Arthritis, ugonjwa ambao hushambulia joints (sehemu za maungio ya mifupa).

Huu ndiyo ugonjwa wa joints ambao huwashambulia sana na kuwapa maumivu makali wanaume. Wanawake pia huweza kuathirika na ugonjwa huu hasa baada ya kukoma hedhi.

Ugonjwa huu huleta maumivu makali ya ghafla, hasa kwenye sehemu linapoanzia dole gumba la mguu. Dalili za ugonjwa huanza kuonekana pale uric acid, tindikali ambayo huzalishwa na mwili katika ufanyaji kazi wake (ambayo haina manufaa kwa mwili) inapobakia katika viungo vya mwili na katika majimaji ya mwili.

Uric acid iliyoganda (tophi) huweza kujikusanya na kubaki chini ya ngozi inayozunguka joints, huweza pia kujikusanya ndani ya figo na kusababisha kidney stones (namna ya kokoto ndogo ndani ya figo).

Gout inaweza kusababisha madhara ya kudumu kwenye maungio ya mifupa na figo. Endapo hatua za kuutibu ugonjwa huu hazitachukuliwa kwa muda mrefu (miaka 10 au zaidi), madhara ya kudumu humtokea mgonjwa.

Chanzo Cha Gout Ni Nini?
Gout hutokea kimsingi pale tindikali aina ya uric (uric acid) inapozidi kiwango katika mwili wa binadamu hali ambayo kitaalamu huitwa hyperuricemia. Tindikali hii ni matokeo ya kuvunjwavunjwa na mwili kwa aina fulani za chakula k**a nyama, nyama ya kuku na chakula cha baharini.

Tindikali hii kwa kawaida huchanganyika na damu na mwisho hutolewa nje ya mwili pamoja na mkojo kupitia figo. Tindikali hii ikitengenezwa kwa wingi mno au isipotolewa nje ya mwili kwa kiwango kinachostahili, ile inayobakia huganda na kukaa kwenye maeneo ya joints na kusababisha maumivu kwenye joints hizo na maeneo yaliyo karibu.

Kuna mazingira ambayo hupelekea hali hii ya uzidifu wa tindikali ya uric katika mwili na mwishowe gout kutokea nayo ni:

Jinsia: Wanaume huzalisha tindikali ya uric kwa kiwango kikubwa zaidi kuliko wanawake, viwango vya uzalishaji kwa wanawake vikikaribia vile vya wanaume pale tu wanapokoma hedhi.
Urithi: Kuzaliwa kwenye familia yenye historia ya gout kunakufanya uwe kwenye hatari kubwa zaidi ya kuupata ugonjwa huu.

Mtindo wa maisha: Unywaji wa pombe huzuia utolewaji wa uric acid nje ya mwili na ulaji wa chakula chenye purine kwa wingi husababisha kiwango cha tindikali ya uric kuwa kikubwa mwilini.

Madini ya lead: Kuwa karibu na madini haya kwa muda mrefu kumeonyesha kuhusika na aina fulani za gout.

Madawa: Baadhi ya madawa yameonekana kuongeza kiwango cha uric acid mwilini.
Unene: Unene umedhihirika kuongeza hatari ya kupatwa na gout.

Matatizo ya kiafya: K**a figo hazifanyi kazi vizuri kiwango cha uric acid mwilini kitapanda. Matatizo mengine ya kiafya yanayochangia ni high blood pressure (hypertension), kisukari na hypothyroidism.


Dalili Za Gout
Gout ina tabia ya kuleta maumivu makali ya ghafla, uvimbe na wekundu mara nyingi kwenye joint moja, na hasa maungio ya kwenye dole gumba.

Maumivu ya gout hutokea ghafla, mara nyingi yatakuamsha usiku katikati ya usingizi ukihisi dole gumba linawaka moto. Eneo hilo huwa la moto, lililovimba na hata uzito wa shuka kuuona kuwa mkubwa sana usiovumilika.

Ugonjwa huanza kwa kuleta maumivu makali kwenye maungio ya mifupa na mara nyingine kuambatana na uvimbe. Pamoja na kuwa gout mara nyingi hushambulia maungio makubwa ya dole gumba la mguu, huweza pia kushambulia maungio ya mikono, ankles, viwiko vya mikono na vidole.

Mtindo wa maisha unaweza kusaidia katika kupunguza makali ya ugonjwa huu au kuzuia usikupate. Yafaa kufanya yafuatayo:

▫️Kunywa maji mengi, lita 2-4 kwa siku

◽️Kutokunywa pombe

◽️Kuweka uzito wa mwili kwenye kiwango kinachofaa

◽️Kupata mlo uliokamilika (balanced diet)

◽️Kutotumia vyakula vyenye purines kwa wingi (vinavyozalisha uric acid kwa wingi). Vyakula vya kukwepa ni k**a figo za ng’ombe, maharage na njegele zilizokaushwa, nyama pori, uyoga na maini.

Kwa maelezo zaidi kuhusu TIBA ya ugonjwa huu wa gouts wasiliana na Dr. Jawadu Mugisha kutoka AFYA KWANZA HERBAL CLINIC kwa namba zifuatazo

Dose yake ni TSh 160,000/- ambayo hutumika ndani ya mwezi mmoja na nusu

+255 755 411 190
+255 626 450 141

AFYA KWANZA HERBAL CLINIC TUNAJALI AFYA YAKO.

13/10/2022

ETUMA V.I.P ROYAL HONEY Imekuwa msaada mkubwa kwa wanaume wengi wenye shida ya kumaliza haraka tendo la ndoa na kushindwa kurudia,Na wale wenye maumbile madogo Inasaidia afya ya uzazi kwa wanaume;

1. Kuweka mishipa na misuli ya tango lako imara iliyoathirika na punyeto (marsterbation) kutokana na vyakula vya kisasa (Artificial foods) msongo wa mawazo (stress) na magonjwa k**a tezi dume, presha na kisukari, n.k

2. Kuboresha msukumo wa damu kwenye mfumo wa moyo, figo, na mishipa ya tango.

3. kuweka sawa kiwango cha mbegu (s***m count)

4. Kurudia tendo mara nyingi utakavyo

5. Kumudu tendo kwa muda mrefu bila kuchoka.

6. Kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume tu.

7. Kukuza tango kwa kuongeza urefu wa inches 2 na upana wa inches 0.98 na kuongeza presha ya kutosha kwenye mishipa damu ya tango lako

N.B: Tiba hii niyakudumu sio chungu wala kali, hutumiwa na wanaume wa aina zote hata wale wenye maradhi ya Kisukari, Presha,Bawasir na Tezi dume huwasaidia sana kuweza kuperform vizur ktk tendo la ndoa.

200,000/- DOSE KAMILI

Tunapatikana Daresalaam kariakoo mtaa wa mafia na nyamwezi stand ya mabibo
Simu NAMBA 0679711190 📞

Mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia +255755411190
By; Dr. Jawadu Mugisha ✍🏿

13/10/2022

BAWASIRI (HAEMORHOIDS)

BAWASIRI NI NINI?
Ni mkusanyiko wa damu ndani ya njia ya haja kubwa (mkundu na puru) katika sinusoid za ateri na vena za njia ya haja kubwa. Ikumbukwe kwamba mifumo hii ya damu ni ya kawaida na kila binadamu anazo. Mifumo hio ya damu ya ndani ya njia ya haja kubwa ikijaa damu ndipo inavimba na inakua bawasiri au vijivimbe laini ndani ya njia hiyo. Watu wengi sana wana bawasiri na kwa kua hazinaga dalili basi hata watu wengi hawajijui k**a wana hali hii.Bawasiri huwapata sana watu kuanzia miaka 30 hadi 65;chini ya miaka 20 au juu ya miaka 70 ni ngumu sana kupata bawasiri. Ikumbukwe kwamba bawasiri zipo sana na k**a hazikupi shida yeyote wala hazihitaji matibabu ya aina yeyote

AINA ZA BAWASIRI

👉BAWASIRI ZA NDANI(INTERNAL HAEMORHOIDS)

👉BAWASIRI ZA NJE(EXTERNAL HAEMORHOIDS)

👉BAWASIRI MCHANGANYIKO(MIXED HAEMORHOIDS)

WALIOPO KWENYE HATARI YA KUPATA BAWASIRI

👉Wanaoharisha sana(diarrhea)

👉Wajawazito( pregnancy)

👉Wanaopata choo kigumu kwa muda mrefu(chronic constipation)

👉Wanaokaa muda mrefu kwenye kiti( prolonged sitting)

👉Watu wenye kiribatumbo(obesity)

👉Wanaofanya mapenzi ya njia ya haja kubwa(a**l in*******se)

👉Wanaonyanyua vitu vizito(Regular heavy lifting)

👉Watu wenye maisha mazuri na wasomi(Higher socioeconomic status)

👉Waliofanyiwa operesheni ya aina yeyote ya mkunduni(Rectal surgery)

👉Wenye magonjwa ya ini(Hepatic disease)

👉Watu wenye saratani ya utumbo mpana(Colon malignancy)

👉Wenye presha ya puru(Elevated a**l resting pressure)

👉Wenye presha ya Ini(Portal hypertension

ATHARI ZA BAWASIRI
🔹Upungufu wa damu mwilini
🔹Kutokwa na kinyesi bila kijitambua
🔹kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
🔹kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
🔹kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
🔹Kupata tatizo la kisaikolojia

NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI

🔹Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
🔹kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
🔹Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
🔹Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.

MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA WA BAWASIRI
➡️matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri, mara nyingi wagonjwa wa bawasiri hupatiwa tiba ya kukatwa kinyama na kushauriwa kuendelea na tiba ya vyakula Lakini tiba huwa haina matokeo mazuri kwasababu baada ya Muda tatizo hujirudia kutokana na kwamba hawajatibu chanzo cha tatizo hivyo tiba nzuri ya bawasiri ni kutumia dawa itakayotibu chanzo cha tatizo huku ukiendelea na tiba ya chakula, MFANO MZURI WA DAWA NI *BODY SYSTEM* na *BAWASIR LIQUID* hizo zinatibu na kuondoa tatizo moja kwa moja kwa muda wa wiki mbili tu hata k**a ulishawahi kufanyiwa upasuaji hivyo ni vizuri kutumia dawa hizo ili kumaliza tatizo pamoja na hayo ni
vyema ukazingatia mambo yafuatayo ili KUEPUKANA na ugonjwa wa bawasiri

ZINGATIA KANUNI YA CHAKULA BORA KWA KUPENDELEA KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA NA NAFAKA ZISIZOKOBOLEWA
KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GLASI SITA HADI 12 KWA SIKU
EPUKA KUTUMIA MUDA MREFU CHOONI

MADHARA YA BAWASIRI
➡️Ugonjwa wa bawasiri una madhara makubwa iwapo hautapatiwa tiba ya uhakika haya ni baadhi ya madhara ya bawasiri

➡️KUPATA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

➡️KUPATA TATIZO LA KUSHINDWA KUHIMILI KINYESI

➡️HUPUNGUZA MORAL YA KUFANYA KAZI KUTOKANA NA MAUMIVU

➡️HUATHIRI KISAIKOLOJIA
MWANAMKE HUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA

➡️KUPATA KANSA YA YTUMBO
✍ hayo ni mambo ya msingi sana kuyajua kabla ya kujua tiba

AFYA KWANZA HERBAL CLINIC TUPO KWAAJILI YA KUKUPATIA TIBA YA BAWASIR WW UNAYESUMBULIWA NA TATIZO HILI TUPIGIE SASA KWA NAMBA ZIFUATAZO:-
+255 679 711 190 call 📞
+255 755 411 190 WhatsApp

TUPO DARESALAAM KARIAKOO MTAA WA MAFIA NA NYAMWEZI STAND YA MABIBO NYOTE MNAKARIBISHWA.

13/10/2022

VERA SYRUP:
Ni mchanganyiko wa dawa nyingi za asili wenye kutibu maradhi yafuatayo:-
1. Kuboresha chembechembe nyeupe za damu (white blood cells)
2. Kusafisha damu, kutoa sumu mwilini
3. Kuyeyusha mafuta machafu yaliyoganga yasiyokuwa na kazi mwilini
4. Hutibu fangasi ya ndani ya damu na nje
5. Hutibu aleji ya aina yoyote na matatizo ya Figo na Ini
6. Hutibu taifodi sugu na isiyoyo sugu, hutibu malaria na amueba
7. Kichocho na kibofu cha mkojo, gonorea,kaswende,kisonono
8. Kusafisha mkojo mchafu (U.T.I) na kuzibua njia ya mkojo
9. Kuondoa maumivu ya haja ndogo
10. Kutibu jamii zote za ngiri,kupunguza vitambi
11. Maumivu ya mgongo,kiuno na miguu
12. Miguu kuwaka moto na miguu kufa ganzi
13. Korodani kuvimba (HERNIA) Maumivu ya kinena na chini ya kitovu
14. Hutibu maumivu ya kichwa na kipanda uso
kichwa kuuma upande mmoja na kizungu zungu
15. Vichomi, minyoo na maumivu ya muda mrefu
16. Kuondoa uvimbe tumboni na majipu
17. Heshima ya nyumba (nguvu za kiume)
18. Kusafisha taka zote tumboni na kulainisha tumbo tambazi
19. Kuondoa gesi (gas) tumboni
20. Kutibu chango la akina mama, hedhi bila mpangilio na kusafisha mirija ya uzazi.

AL FIRDAUS HERBAL AND SPIRITUAL HEALING CENTER S.L.P 9004 DAR ES SALAAM TZ 🇹🇿 Tel: +255 755 411 190 📞

13/10/2022

Ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni/ Sehemu Za Siri
(Vaginal Thrush)

Uke Ni Kiungo Cha Uzazi Wa Mwanamke, Ambamo Ndani Yake Kuna Lactobacillus Bacteria Na Fangasi Wazuri Abao Wako Katika Kiwango Kinacho Lingana/a Balanced Mix. Bacteria Hawa Na Fangasi Hizi Husaidia Sana Kuulinda Uke Na Maradhi Mbalimbali Endapo Uwiano Wake Hauta Bughuziwa. Lactobacillus Bakteria Hutoa Acid Ambazo Huzuia Fangasi Kukuwa Au Kuwa Wengi Zaidi.

ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni Ni Ugonjwa Anaoupata Mwanamke Endapo Fangasi Watakuwa Wengi Zaidi Ya Bacteria Wazuri Waliopo Ukeni Au K**a Ph Ya Ukeni Imezidi Kiwango Cha Kawaida Kinachopaswa(Ph 3.5-4.5 Ndio Kiwango Kizuri Kiafya).

fangasi Za Ukeni Mara Nyingi Husababishwa Na Fangasi Waitwao Candida Albicans, Lakini Wakati Mwingine Ni Aina Nyingine Za Fangasi Na Hizi Ni Vigumu Sana Kutibika

vitu Vinavyoweza Kusababisha Ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni

kunasababu Nyingi Sana Baadhi Ya Hizo Ni;

1.Matatizo Ya Homoni(Homoni Za Kubadilika/kuwanyingi Sana Au Kushuka Sana) Hii Inaweza Kusahabishwa Na; Ukomo Wa Hedhi,ujauzito, (Mp)kuwa Katika Siku Za Mwezi, Matumizi Ya Dawa Za Kuongeza Kiwango Cha Hormon Za K**e

2. Matumizi Ya Antibiotics Hizi Huuwa Bacteria Wazuri Na Kubadiri Ph Ya Uke

3. Kufanya Mapenzi Na Mtu Aliye Na Ugonjwa Wa Fangasi Za Sehemu Za Siri Bila Kinga

4. Kushuka Kwa Kinga Ya Mwili Hii Inaweza Kusababishwa Na Magonjwa Mbalimbali K**a Ukimwi, Kisukari, Upungufu Wa Madini,vitamini Na Virutubishi Mbalimbali Vya Mwili.

5. Ulaji Mbaya Hasa Kupendelea Vyakula Vyenye Sukari Kwa Wingi (Sukari Ni Chakula Kwa Fangas Hivyo Huongezeka).

6. Kukosa Usingizi Na Msongo Wa Mawazo .

dalili Zinazoonesha Kuwa Unaugonjwa Wa Fangas Za Ukeni

kuna Dalili Nyingi Sana K**a Zifuatavyo;

🔹Muwasho Sehemu Za Siri

🔹Vipele Vidogo Vidogo Ukeni

🔹Kutokwa Uchafu Mweupe Au Wa Rangi Ya Kijivu Ukeni Wenye Harufu Mbaya

🔹Vidonda Au Michubuko Ukeni

🔹Kutokwa Na Harufu Mbaya Ukeni

🔹Kupatwa Na Maumivu Makali Wakati Wa Tendo La Ndoa

🔹Kuvimba Na Kuwa Mwekundu Katika Mdomo Wa Nje Wa Uke

🔹Kuwaka Moto Ndani Na Nje Ya Uke

kinga Ya Fangasi Za K**e

1. Epuka Kusafisha Uke Kwa Kutumia Vitu Vyenye Kemikali K**a Sabuni

2. Epuka Kutumia Marashi Yenye Chemikali Ukeni Na Kuingiza Vitu Mbàlimbali Ukeni K**a Vidole, Asali, Mgagani N.k

3. Epuka Kutawadha Kutokea Nyuma Kwenda Mbele Baada Ya Kujisaidia Haja Kubwa Au Ndogo

4. Mtibu Mpenzi Wako Alie Na Ugonjwa Wa Fangasi

5. Safisha Uke Na Kujifuta Kwa Kitambaa Safi Ilikuuacha Mkavu

6. Hakikisha Kinga Ya Mwili Wako Iko Juu

7. Vaa Chupi Zitengenezavyo Kwa Vitu Harisi K**a Pamba Na Hariri

8. Epuka Ulaji Mbaya Wa Chakula Hasa Punguza Vyakula Vyenye Kukupayia Sukari Kwa Wingi Mwilini

9. Tumia Pads Zisizo Na Kemikali Na Zenye Vitu Vya Kukulinda Na Maambukizi,kukufanya Uwe Mkavu Na Huru.

N:B Ni Muhimu Kutumia Dawa Za Asili Za Virutubisho Na Kuacha Zenye Kemikali Wakati Wa Kutibu Fangasi Za Ukeni.
kwa Maelezo Zaidi,
maoni Na Ushauri

matibabu Ya Fangasi Sugu Na Za Kawaida wasiliana nasi kwa namba zilizoko hapa chini.
Dr. Jawadu Firdaus ✍🏾
+255 755 411 190 📞

Dose kamili ya fangasi ni TSh 80,000/- kopo tatu ambazo hutumika ndani ya wiki tatu

13/10/2022

JINSI YA KUTOA SUMU MWILINI

Sumu ni kitu chochote kile ambacho katika mwili huhatarisha utendaji kazi wa mifumo au viungo vya mwili na huweza kupelekea kifo.

Kwa kutegemeana na namna ambavyo sumu huuathiri mwili, tunapata makundi mawili ya sumu; Kundi la kwanza ni aina za sumu ambazo husababisha madhara yasiyorekebishika au tuite ulemavu wa maisha (Irreversible effects), na kundi la pili ni aina za sumu zinazosababisha madhara yanayoweza kurekebishika (Reversible effects). Miongoni mwa madhara yasiyorekebishika yanayoweza kusababishwa na kundi la kwanza la sumu ni pamoja na, makovu katika ngozi, upofu, matatizo ya akili, matatizo ya damu, kulemaa au kupooza viungo na kuwa kiziwi.

Kundi la pili la sumu husababisha madhara yanayoweza kurekebishika au kutatulika baada ya muda fulani, mfano uvimbe, kuwasha kwa ngozi, ngozi kuwa kavu sana, kutokwa na majibu pamoja na sehemu za mwili kubadilika rangi.

Mpenzi msomaji, kuna vyanzo viwili vya sumu mwilini; chanzo cha kwanza ni kupitia vitu ambavyo vipo nje ya mwili, binadamu huvitumia na matokeo yake humuathiri. Vitu hivi MTU huvitumia pengine kwa kujua au kutokujua kuwa kwake ni sumu, mfano matumizi ya kemikali aina ya zebaki ( mercury) katika shughuli za migodini, uangalifu au umakini mkubwa wahitajika pindi utumiapo kemikali hii kwani huweza kukupa madhara katika mapafu na moyo. Sumu nyingine hujitokeza kwa kukosa au kutozingatia maelekezo tunayopewa juu ya utumiaji salama Wa Dawa za kutibu magonjwa, mtu anazidisha dozi, au ni mama mjamzito lakini anatumia Dawa ambayo siyo salama kwa kiumbe kilichopo tumboni, matokeo yake ni kuhatarisha maisha ya mjamzito, mtoto tumboni au kuja kujifungua mtoto mwenye ulemavu usio rekebishika.

Chanzo cha pili cha sumu ni miili yetu wenyewe, ni katika hali ya kawaida mwili unazalisha sumu mbalimbali kupitia mifumo yake ya Kazi, mfano katika uvunjwaji na usambazaji Wa chakula mwilini, mifumo ya hewa, utengenezaji wa damu, katika Kazi zote hizi na nyingine ambazo mwili hufanya, kuna baadhi ya sumu huzalishwa pamoja na kemikali (free radicals) nyingi ambazo hazitakiwi ziendelee kukaa mwilini, kwani huathiri utendaji Kazi wa kawaida wa mwili.

Afya kwanza herbal clinic tumekulea dawa za miti shamba ambazo zinaweza kuondoa sumu mwilini bila kuleta madhara miongoni mwazo ni dawa hii iitwayo SAFI ambayo hutumika kwa matumizi ya kunywa na ili uwezo kukamilisha dose kwa Mtu mzima ni kuanzia Chupa 4 na kuendelea na bei ya Chupa moja ni Tsh 20,000/- zikiwa Chupa 4 ni Tsh 80,000/-

Wasiliana nasi kupitia namba hii 0679711190

Doctor Jawadu Mugisha ✍🏿
+255 755 411 190 WhatsApp

13/10/2022

MATATIZO YA URIC ACID MWILINI NA TIBA YAKE

Mwili wa binadamu kwa asili yake umeumbwa kwa namna ambayo viungo vyote vinaweza kufanya kazi kwa ufasaha kutegemeana na taarifa ambazo zinasafirishwa kutoka katika ubongo na kupelekwa katika kiungo husika.

Ili mwili uweze kufanya kazi vizuri na kusitokee na tatizo lolote, haina budi kila kemikali ya asilia iliyopo mwilini iwe katika kiwango ambacho ni stahiki.

Miongoni mwa kemikali asilia ambayo inapatikana katika mwili wa binadamu ni hii ijulikanayo kwa jina la kitaalamu la “Uric Acid”.

Uric Acid ni kemikali ya asilia ambayo inapatikana katika mwili wa binadamu. Kemikali hii hupatikana baada ya kuvunjwa vunjwa kwa vyakula ambavyo ndani yake kuna kundi la kemikali aina ya “Purine” ambayo baada ya kuvunjwa ndipo huzalisha kitu kinachojulikana k**a “Uric Acid”.

Katika mwili wa binadamu, kiwango ambacho ni cha kawaida mtu kuwa nacho ni 2.4-6.0 mg/dL (kwa mwanamke) na 3.4-7.0 mg/dL (kwa mwanamme). Kiwango cha uric acid mwilini hupimwa kwa kutumia njia ya damu.

Kiwango hiki endapo kitazidi mwilini kitasababisha matatizo mwilini na hasa katika maeneo ya mwili ambayo ni maungio ya mifupa/jointi.

Katika maungio ya mifupa au jointi, mtu atapatwa na maumivu makali, kuvimba na kubadilika kwa umbile la maungio ya mifupa na kuwa k**a kumepinda. Hali hii kitaalamu au ugonjwa hujulikana k**a “Gout”.

Pia kuzidi kwa kiwango cha uric acid mwilini kinaweza kuwa ni dalili ya magojwa k**a vile magonjwa ya ini, figo pamoja na saratani. Mwilini kemikali hii ya asilia hutolewa kupitia njia ya mkojo k**a urea, tofauti na wanyama wengine au ndege ambao wao kemikali hii hutolewa kupitia kinyesi na wakati mwingine imekuwa na muonekano k**a chokaa na kuchanganyika na kinyesi mfano cha kuku.

Upatikanaji wa uric acid mwilini ni kupitia ulaji wa vyakula k**a vile maharagwe yaliyokaushwa, maini, figo pamoja na baadhi ya vyakula vya baharini au seafood (sardines pamoja na tuna). Pamoja na vyakula, pia uric acid mwilini hupatikana baada ya matokeo ya seli hai za mwili kuvunjika (seli kufa na kutengeneza purine ambazo nazo huvunjika na kutengeneza Uric Acid).

Kwa kuwa kiwango kikubwa cha uric acid kinasababisha matatizo ya kiafya, ni vyema kufahamu ni namna gani ambavyo mtu anaweza kuenenda ili kuhakikisha kuwa kiwango cha uric acid katika mwili kinakuwa siyo cha kuweza kusababisha matatizo ya kiafya.

Miongoni mwa njia za kutumia katika kurekebisha kiwango cha uric acid mwilii ni kuepuka vyakula ambavyo vina kiasi kikubwa cha “Purine” ambayo ndiyo hupelekea kupatikana kwa uric acid. Vyakula hivyo vya kuepuka ni pamoja na maini, figo pamoja na baadhi ya vyakula vya baharini k**a vilivyotajwa hapo juu. Pia ni vyema kutumia vyakula ambavyo vina kiasi kikubwa cha virutubisho pamoja na vitamin ambavyo kiafya vinasaidia katika kuondoa sumu mwilini.

Virutubisho na vitamini ambazo husaidia katika kurekebisha kiwango cha uric acid mwilini ni pamoja na vitamin B6, Vitamin C, madini ya magnesium. Haya hupatikana katika matunda k**a vile ndizi mbivu, machungwa, matikiti maji, maembe pamoja na mananasi. Pia juisi la limao katika mwili husaidia katika kutengeneza chumvi aina ya calcium carbonate ambayo husaidia kuyeyusha au (Neutralize) tindikali asilia mwilini (Uric acid).

Aidha, sambamba na ulaji wa vyakula hivyo kwa mtu ambaye tayari a**lo tatizo la kuwa na kiwango kikubwa cha uric acid mwilini (Baada ya vipimo vya kitaalamu), inashauriwa kutumia dawa ambazo hupunguza kuzalishwa kwa uric acid mwilini lakini pia kusaidia katika kuondoa maudhi na maumivu makali ambayo mtu huyapata katika jointi. Moja na dawa ambazo zimekuwa zikitumika katika tatizo hili ni dawa aina ya MUFASIL.

Ili miili yetu iweze kuendelea kufanya kazi vizuri, inashauriwa kufanya chunguzi za kitaalamu ili kuweza kubaini mapungufu yaliyopo mapema na hatimaye kuepukana nayo kwa kufuata ushauri wa wataalamu wa afya

Kwa mahitaji wasiliana na
Dr. Jawadu F Mugisha ✍🏿
📲 +255 679 711 190
📞+255 679 711 190
+255 755 411 190

13/10/2022

Ginseng ni kiambata cha steroid kinachopatikana katika mimea ya aina ya “ginseng” mimea hii ina thamani kubwa na ina historia ndefu sana na watu wa China huiita mfaulme wa mitishamba “king of magic” hii inatokana na kazi ambayo mimea hii hufanya katika mwili wa binadamu.
“Inasemekana mimea ya ginseng hutibu mgonjwa yote(King of herb).

Ginseng ni mitishamba inayouzwa sana katika nchi ya marekani kwa takriban asilimia 15 mpk 20 ya mitishamba yote inayouzwa marekani ni ginseng.
Steroid ya aina hii hupatikana tu kwenye mimea ya jamii ya ginseng.

Ginseng ni molecule ndogo na inapoingia mwilini huingia katika kila ogani ya mwili sababu ya udogo wake na hufanya kazi yake kwa uhakika zaidi mpaka pale itakapotolewa nje ya mwili.
Udogo wa steroid hii ya ginseng na ueneaji wa dawa hii katika kila organi ya mwili na uwezo wake wa kukaa mwilini kwa muda mrefu huifanya ginseng kuwa dawa imara katika kutibu magonjwa mbalimbali.

GINSENG hii inaundwa na RH2 na RG3 ndizo steroid zinazoweza kupambana na magonjwa mbalimbali na kuzuia kansa,

KAZI ZA GINSENOSIDE RG3
Kiambata hiki ni cha muhimu sana na hufanya kazi zifuatazo;

1. Hutibu magonjwa ya moyo
2. Hutibu magonjwa ya mzunguko wa damu
3. Hutibu magonjwa yanayoukumba ubongo
4. Magonjwa ya mishipa ya moyo
5. Kupooza kwa miguu na mikono
6. Hurudisha kumbukumbu hasa kwa watu walokumbwa na stroke
7. Hutibu kansa ya aina mbalimbali.
8. Huongeza uwezo mkubwa wa ufikiriaji.
9. Huondoa allergy kwani huzuia utolewaji wa histamine
10. Husaidia katika kutibu kisukari kwani hufanya ongezeko la utolewaji wa insulin
11. Huondoa uchovu wa mda mrefu kwa wagonjwaa wa siku nyingi na wale tunaofanya kazi ngumu bila kupumzika.

KAZI YA GINSENG RH2
🔹Huongeza kinga ya mwili na hivyoo kufanya mwili kupambana na kansa na magonjwa mbalimbali.
🔹Huweka sawa mfumo wa kinga ili kuzuia kansa kutokea,
🔹Hurudisha kumbukumbu hasa kwa watu walio na stroke.
🔹Kwa kushirikiana na dawa zingine hutibu na kuzuia kusambaa kwa uvimbe wa aina yoyote.
🔹Hutibu upungufu wa nguvu za kiume na kuongeza nafasi ya kutungisha mimba.

Dawa hii inapatikana kwa ghalama ya TSh 50,000/- package ya tablets 90

By: Dr. Jawadu F Mugisha ✍🏿
+255 755 411 190 📞0679711190

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Kariakoo?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Mafia Street & Nyamwezi Street
Kariakoo
255