Your Ultimate Guide to Health & Wealth
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Your Ultimate Guide to Health & Wealth, Health/Beauty, Mikocheni Dar Es Salaam, Dar es Salam.
Greetings and Welcome to this page.If you would like to learn how to achieve greater health and create additional income,then you are at the right place.We're here to help people become Healthier than ever and Financially Independent,welcome
https://video-earns.top/3245701517485595/ sign up to get a 10 US Dollar newcomer bonus! I made more than 200 US Dollars by watching the video here, so you can try it.
Wanangu mchongo huu apa fanya kujisajili uchek videos ulipwe!,.
19/03/2020
KIJIKO KIMOJA KWA SIKU CHA MAFUTA YA N**I KINAFANYA MAAJABU HAYA
Mafuta ya n**i ni kati ya vyakula vilivyotajwa kuwa kati ya vyakula vyenye faida nyingi kiafya. Mafuta haya ambayo yanaweza kutumika katika mapishi yana faida ambazo unaweza kupata hata k**a unatumia kijiko kimoja tu kwa siku ikiwemo katika kupungua. Faida hizo kuu ni k**a ifuatavyo
1. Mafuta ya n**i yanakufanya uchome mafuta na kupungua haraka zaidi
Virutubisho vilivyomo katika mafuta ya n**i vinavyoitwa MCT vinaongeza uchomaji wa mafuta kwa angalau asilimia 5 zaidi kwa siku iwapo ukitumia takribani kijiko 1 tu cha mafuta ya n**i kwa siku. Hivyo unavyotumia mafuta haya mara kwa mara ndivyo unavyoweza kupungua haraka zaidi na ndio maana yanashauriwa kutumia katika program ya kupungua ya Fiti Milele.
2. Mafuta ya n**i yanaondoa njaa hivyo kukufanya kula kidogo
Virutubisho vya MCT vilivyomo katika mafuta ya n**i vimeoneshwa kumshibisha mlaji vizuri na kwa muda mrefu. Hili linamfanya mtu asisikie njaa mara kwa mara na kuishia kula pengine hata vitu ambavyo vinaweza kumsababishia kunenepa zaidi. Tafiti zimeonesha matumizi ya mafuta ya n**i kunamfanya mtu kupata shibe nzuri na ya muda mrefu bila kula sana.
3. Mafuta ya n**i yanasaidia uchomaji wa mafuta katika kitambi
Vitambi vimehusishwa na matatizo mazito ya kiafya k**a kisukari na magonjwa ya moyo. Wanasayansi walifanya tafiti kwa wanawake na wanaume ya kuwaongezea mafuta ya n**i katika milo yao ya kila siku kwa muda wa wiki 12. Watu hawa hawakuambiwa wabadilishe namna ya kula au mazoezi. Baada ya wiki 12 ilionekana kuwa vitambi vilipungua kwa wastani wa inchi 3.5 baada ya wiki hizo 12. Yote ni nguvu ya mafuta ya n**i.
Anza kutumia mafuta ya n**i sasa ili upate faida hizi. Yanapatikana katika supermarket mbalimbali nchini. Ni mafuta gani mengine unadhani ni mazuri kwa kupungua?
17/02/2020
TAFADHALI NISAIDIE KUISAMBAZA HII KWA KU SHARE, ITASAIDIA WENGI,
Simu yako ni HATARI SANA kwenye Afya yako.
Fuhamu MADHARA yatokanayo na simu yako na JINSI YA KUYAPUNGUZA.
Simu tunazozitumia hutoa mionzi (radiations) hatari sana ijulikanayo k**a "Electromagnetic waves" wakati wa kupiga/kupokea simu, kuperuzi Internet, nk..
Madhara ya Mionzi hii;
1. Husababisha Saratani ya Ubongo (Brain Cancer) na ngozi (Skin Cancer).
2. Husababisha hitilafu kwenye Ubongo na hii hupelekea kupoteza kumbukumbu, uwezo mdogo wa kupambanua mambo na umakini (Concentration).
3. Husababisha upungufu wa mbegu za kiume na hata utasa (Impotence) kwa wanaume.
4. Huongeza shinikizo la damu.
Jinsi ya kupunguza Athari zitokanazo na Mionzi hii hatari;
1. Weka vifaa maalum vya kupunguza mionzi (Radiation absorbers) kwenye simu yako. Vinapatikana madukani.
2. Usipende kuweka simu mfukoni endapo huitumii. Wakati wa kulala weka mbali angalao SM 30 kutoka ulipo.
3. Simu iwapo mfukoni, upande wa Vitufe na kioo cha simu ndio kielekee mwili wako!
4. Tumia "headsets" au "Kipaza sauti (Loud Speaker). Hii hukusaidia kuwa mbali na mionzi wakati wa kupiga/kupokea simu.
5. Usiitumie simu yako iwapo ina "bar" moja au mbili za "network" (Low Network Signal). Wakati huu simu inafanya kazi kupita kiwango cha kawaida hivyo huongeza wingi wa mionzi.
6. Wakati wa kupiga simu, subiri ipokelewe ndio uisogeze karibu ya mwili (mf. Masikioni).
7. Iwezekanapo, penda kuwasiliana kwa ujumbe wa maneno (text msg) kulipo kupiga simu.
Simu ni muhimu sana katika Maisha yetu ya sasa. Hutuunganisha na ulimwengu uliogubikwa na Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia.
Sanjari na hili, tunapaswa kuwa makini katika juhudi za kujaribu kuepuka Madhara yatokanayo na simu k**a ilivyoainishwa hapo juu.
28/10/2019
AFYA: WAZIJUA ATHARI ZA KUNYWA MAJI MENGI KUPITA KIASI?
> Kunywa maji kupitia kiasi husababisha kutokwa na jasho jingi, usumbufu wakati wa kulala, kumewahi sababisha kifo
> Je, wajua kiasi kinachoshauriwa na Wataalamu?
Kwa makala hii, soma > https://jamii.app/KiasiMajiMwili
28/10/2019
Jinsi ya kurekebisha mzunguko wa hedhi
Jinsi ya kurekebisha mzunguko wa hedhi
Tatizo la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huanza ghafla au polepole ambapo mwanzo mwanamke alikuwa akipata siku zake katika utaratibu unaoeleweka lakini mara haelewi au hajielewi namna mzunguko wake unavyoenda.
Kuvurugika kwa hedhi ni kitendo cha mwanamke kuanza kuona siku zake bila tarehe au mzunguko maalumu na matokeo yake ni kuwa mwanamke atashindwa kutimiza malengo yake kwa kutumia mzunguko huo sababu ni haueleweki.
Unaweza kutokewa ghafla tu unapata hedhi mahali usipotarajia jambo linakufanya ubaki na woga na huelewi nini cha kufanya kwani hukuwa umejiandaa kwa tukio hilo k**a matokeo ya siku zako kutokuwa mzunguko maalumu. Wakati mwingine unaweza kupitiliza mwezi hata miezi kadhaa bila kuona kabisa siku zako na hata ukipima ujauzito unakutwa huna ujauzito wala dalili huna.
Madhara ya kuvurugika kwa mzunguko ni pamoja na; kushindwa kupata ujauzito, maambukizi katika kizazi na kuziba kwa mirija ya uzazi.
Kwanini unahitaji mzunguko wa hedhi uli
Faida za kuwa na mzunguko wa hedhi ulio sawa:
1⃣Utakusaidia kupata ujaouzito ulioupangilia
2⃣Utakuepusha kupata ujauzito ambao hukuupangilia
3⃣Utaweza kuamua jinsia ya mtoto unayemtaka
Nini husababisha kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi
Ni rahisi kugundua k**a mzunguko wako umevurugika ikiwa tu unauafahamu vizuri mzunguko wako ulio sahihi. Kufahamu mzunguko unahitaji uifahamu siku ambayo ulianza kuona damu hadi siku utakapoona tena katika mzunguko unaofuata. Karibu kila mwanamke huwa na mzunguko wake usiofanana na wa mwingine.
Tatizo linaweza kuanza kwa kurukaruka siku, mwanamke pia anaweza kupoteza siku yaani mwezi mwingine anaona na mwezi mwingine haoni, au anaingia mara mbili kwa mwezi au anaona damu ya hedhi kwa siku nyingi hata zaidi ya siku arobaini mfululizo. Damu yake inaweza kutokea kidogo kidogo kila siku au nyingi huku ikiambatana na mabongemabonge na maumivu pia. Maumivu haya ya wakati wa hedhi huenea chini ya tumbo mpaka miguuni na kiunoni
Kuvurugika kwa hedhi kunaweza kutokea kutokana na sababu zifuatazo:
1⃣Mabadiliko ya mazingira ambayo hupelekea mfumo wa mwili hubadilika pia hasa mwanamke akitoka sehemu ya joto kwenda mikoa ya baridi au toka mikoa ya baridi kwenda mikoa ya joto.
2⃣Msongo wa mawazo (stress)
3⃣Hofu
4⃣Woga
5⃣Mabadiliko ya kisikolojia
6⃣Uvimbe kwenye kizazi
7⃣Matatizo kwenye mfumo wa homoni
8⃣Matatizo kwenye vifuko vya mayai
9⃣Mimba kuharibika
.Maambukizi sugu ya kizazi pia ni mojawapo ya sababu.
1⃣1⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu ya mara kwa mara na kila ukipima unaambiwa ni ugonjwa wa U.T.I kumbe siyo yutiai
1⃣2⃣Kutokwa na uchafu ukeni
1⃣3⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
Jinsi ya kurekebisha mzunguko wa hedhi
Kabla ya yote unapopatwa na tatizo hili kwa muda mrefu ni vizuri ukaonana na daktari uweze kupata uchunguzi wa kutosha kubaini nini hasa inaweza kuwa ndiyo sababu hasa ya tatizo kwa upande wako
Pia hospital unaweza kupewa vidonge vya uzazi ili kurekebisha hedhi yako
12/10/2019
Vidonda vya tumbo !
Siku zote ukiwa mjinga wewe ndio utakaofanya wajanja kula-wapo WAPUMBAVU wengi wamekuwa wakinywa dawa za hospital kila siku wakiamini kuwa wanaweza kupona vidonda vya tumbo.
Siku ukija kupona vidonda vya tumbo kwa dawa za hospital wenda akili yangu haipo Ok maana Mimi nimewahi kuzalisha dawa za vidonda vya tumbo za hospital miaka ya nyuma na Siri ya dawa hizo ni kumdaganya mteja anayekuja kununua dawa za vidonda vya tumbo kwa kumpa dawa ambazo kazi yake ni kupunguza gas na acidic tumboni na tena unaweza pewa dawa za mwezi mzima ukawa ukizitumia unaona upo safi kabisa tena mzima wa Afya ila baada ya dozi kuisha tatizo kitatulia kidogo kisha linakuja tena.
Kile msichokijua ni hivi unapokuwa umezimeza dawa za hospital za kutuliza maumivu ya vidonda vya tumbo kwanza tambua tatizo ndio kwanza litakuja kuongezeka zaidi ya hapo.
Kuna washenzi wao wakisikia tumbo linauma ndio kwanza wanakimbilia dawa za kutuliza maumivu ya tumbo Hawa ndio wapo KWENYE tatizo kubwa zaidi maana ndio wanaharibu mfumo mzima wa uzalishaji wa hyd acid kwenye tumbo na mbaya zaidi wanafanya mishipa ya tumboni kukata mawasiliano na ubongo na hivyo utakuta kwenye tumbo zao tatizo limekwisha kuwa sugu zaidi hata kupona huwa inawachukua Sana mdaa.
Kwanza lazima mtambue kuwa vidonda vingi vya tumbo wanaopata ni wanaume , na chanzo chake ni kutokana na kutokuwa wanalia au kutokwa na machazi hasa pale wanapopata maumivu,kuumizwa, kukwazwa n.k kuto kutoa machozi kunafanya hormone ya stress kulipiza kisasi ndani ya mwili ili kutuliza mapigo ya moyo n.k hatua hiyo inafanya hormone hiyo kuchochea kuzalishwa kwa rundo la Acid (Hyp).
Kingine ambacho kinachangia watu kuwa na vidonda vya tumbo ni kunywa vinywaji vyenye carbonated water ambapo hawajui K**a ndani ya tumbo Kuna kiwango kingine cha carbonate kinachozalisha na kuta za tumbo hivyo unapokunywa mfano soda ambayo ina carbonate ndani yake kiwango cha carbonate hutoka Kwenye 220 hadi 769 hivyo carbonate hii ikizidi huanza kuchubua kuta za tumbo na kuzalisha vidonda vya tumbo ili uwe kujua kuwa carbonate iliyomo Kwenye soda(Coca-Cola) ni kali chukua soda nenda kaoshe choo kichafu utaona kinanga kutokana na carbonate yake ilivyo kali.
Kingine watu wasio jua ni dawa za meno kuwa wengi wanapopiga mswaki huwa kuna maji hupenyeza hadi Kwenye tumbo ikumbukwe dawa za meno zina Fluoride ndani yake na hiyo kemikali ya Fluoride ikifika Kwenye tumbo humfanya mtu kuhisi njaa au hamu ya kutaka kula kumbe fluoride hiyo tumboni hufanya asidi ya hydrochloric kushuka Kwenye tumbo na mbaya zaidi ya watu wengi wakiisha piga mswaki sio wote huenda kula au kupata breakfast hivyo hiyo hydrochloric ikishuka tumboni hukuta hakuna chakula wala breakfast iliyotelemka tumboni kinachofanyika ile asidi huanza kusamba Kwenye tumbo na kuongezeka na baadaye kuzaa vidonda vya tumbo.
Vyanzo vingine vinavyosababisha vidonda vya tumbo :
1)Kunywa maziwa halisi (fresh)
2)Kutumia chakula chenye chumvi nyingi.
3)Kuto lala(usingizi)
4)Mawazo ya msongo.
5)Kutokula breakfast saa 2:30 Lunch saa 6:30 Dinner saa 1:30
6)Kuto kula pilipili nyekundu.
Tujadili kuhusu tiba
(Kipande kimefutwa)
***Naomba waliokwenye Group la WhatsApp waombe Dr Richard awatumie kipande cha tiba ya vidonda vya tumbo kwa njia ya asili nimeshidwa kukiandika hapa baada ya somo kuwa lefu Sana.
Kwa wale wasio na option ya WhatsApp share zaidi ili kupata kipande na masomo mengine yalio nyuma ya ukuta wa page.
09/10/2019
Kwanini mwanamume anapofika kilele wakati wa tendo la ndoa, kilele hicho uhusishwa na kutoka kwa mbegu za kiume, lakini kwa mwanamke kilele chake kunaonekana kana kwamba hakutimizi lengo lolote
https://bbc.in/2OoWmAL
07/10/2019
LEO KATIKA DARASAHURU
*Faida za Parachichi*
Parachichi ni aina ya kipekee ya tunda. Matunda mengi kwa asili ni wanga lakini parachichi limejaa mafuta yenye manufaa makubwa kiafya.
Tafiti mbalimbali zilizofanyika zimebaini kuwa tunda la parachichi limesheheni manufaa makubwa katika afya ya mwanadamu.
Ikiwa unapenda kuwa na afya bora kwa kula tunda la parachichi, basi karibu nikushirikishe faida 20 za kula tunda la parachichi.
1. Parachichi limejaa virutubisho mbalimbali
Parachichi ni tunda la pekee ambalo limebeba virutubisho mbalimbali ambavyo ni muhimu kwa ajili ya miili yetu. Baadhi ya virutubisho vinavyopatikana kwenye parachichi ni:
Kalori 240 (184 inatokana na mafuta)Miligramu 11 za sodiamuGramu 13 za wangaGramu 10 za nyuzinyuzi za lisheGramu 1 tu ya sukariVitamini K: asilimia 26Vitamini C: asilimia 17Potasiamu asilimia 14Vitamini B5: asilimia 14Vitamini B6: asilimia 13Asidi ya Folate: asilimia 20Vitamini E: asilimia 10
Virutubisho vyote hivi ni muhimu kwa ajili ya mwili kujijenga na kujilinda dhidi ya magonjwa.
2. Lina virutubisho vitokanavyo na mimea
Pamoja na parachichi kuwa na virutubisho vingine mbalimbali, bado parachichi lina virutubisho muhimu tunavyovihitaji kutoka kwenye mimea. Virutubisho hivyo ni:
Carotenoids – Inayopatikana kutoka kwenye parachichi ina manufaa makubwa kwa ajili ya miili yetu katika kulinda macho dhidi ya matatizo mbalimbali yakiwemo yale yatokanayo na umri.
Persenones A na B – Hii huzuia uvimbe na saratani mwilini.
D-Mannoheptulose – Hii ni aina ya sukari inayopatikana kwenye parachichi, na inaaminika kusaidia kutawala kiwango cha sukari mwilini.
3. Husaidia kupunguza uzito
Swala la kupunguza uzito linaathiriwa sana na mfumo mzima wa lishe. Hivyo kula vyakula ambavyo vinawezesha mchakato wa metaboli kwenda vyema kutakuwezesha kupunguza uzito kwa muda mfupi.
Parachichi ni tunda zuri ambalo huwezesha mchakato wa metaboli kwenda vizuri mwilini.
4. Parachichi lina Fatty Acid
Fatty Acid ni asidi itokanayo na mafuta ya parachichi ambayo ni muhimu sana kwa ajili ya shughuli mbalimbali katika miili yetu.
Fatty Acid inahitajika katika uzalishaji wa homoni, ukuaji wa seli pamoja na ufyonzwaji wa virutubisho.
5. Hupunguza lehemu mbaya (cholesterol)
Mafuta ya lehemu ni hatari ikiwa kiwango chake kitakuwa kingi mwilini; mafuta haya husababisha matatizo mbalimbali hasa maradhi ya moyo.
Matunda ya parachichi hayana lehemu mbaya inayoweza kuathiri afya yako. Utafiti unaonyesha kuwa watu wanaokula parachichi kiwango chao cha lehemu mwilini ni tofauti na wale wasiokula kabisa.
6. Kukabili maradhi ya kisukari
Parachichi ni tunda ambalo kiwango chake cha sukari hakina athari kwenye mwili. Hivyo utumiaji wa parachichi utakuwezesha kuweka kiwango cha sukari mwilini kuwa katika hali nzuri ya wastani.
7. Hulinda afya ya moyo
Madini ya potasiamu yanayopatikana kwenye tunda la parachichi kwa zaidi ya asilimia 14 ni muhimu sana katika utendaji kazi wa misuli ya moyo.
8. Huzuia uvimbe
Asidi ya Oleic inayopatikana kwenye parachichi, imebainishwa na wataalamu kuwa husaidia kwa kiasi kikubwa kuzuia uvimbe mwilini.
9. Hulinda afya ya macho
Kemikali ya lutein na zeaxanthin ni muhimu sana kwa ajili ya kulinda na kuimarisha afya ya macho.
Ikumbukwe kuwa parachichi ni tunda lenye kiasi kikubwa cha lutein ambayo pia hulinda macho dhidi ya matatizo mbalimbali yatokanayo na umri.
10. Parachichi lina Potasiamu nyingi kuliko ndizi
Watu wengi wanapenda ndizi kwa kuwa ni chanzo kimoja wapo cha madini ya potasiamu, lakini hawafahamu kuwa ndizi ina potasiamu asilimia 10 na parachichi lina asilimia 14. Hivyo parachichi ni bora zaidi.
Potasiamu ni muhimu katika miili yetu kwani hutuwezesha kutawala kiwango cha sodiamu katika miili yetu na kutuepusha na madhara yatokanayo na madini haya ya sodiamu.
11. Huboresha afya ya nywele na ngozi
Naamini umewahi kusikia kuwa parachichi hutumika kutengenezea mafuta ya nywele na ya ngozi; hii ni kutokana na kusheheni vitamini E ambayo ni muhimu kwa ajili ya afya ya nywele na ngozi zetu.
Hivyo badala kununua mafuta ya gharama kubwa ili kupata vitamini E kwa ajili ya ngozi na nywele zako, basi kula tunda la parachichi sasa.
Neno la mwisho:
Naamini sasa hutopuza tena tunda la parachichi kwani umefahamu faida tele za tunda hili. Parachichi ni tunda linalopatikana kwa urahisi bila gharama kubwa ikilinganishwa na matunda mengine k**a vile tofaa(apple)
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mikocheni Dar Es Salaam
Dar Es Salam