I-Link Cosmetics tz

I-Link Cosmetics tz

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from I-Link Cosmetics tz, Beauty, cosmetic & personal care, �I-LINK COSMETICS�, Tupo Geita mjini, miti mirefu, makutano ya barabara inayotoka Gold Stone Hotel na ile inayotoka Luns Hotel, Geita.

04/06/2026

Itambue nguvu ya hii shower gel na uupatie mwili burudani tulivu. Itumie leo na upate matokeo halisi

Photos from I-Link Cosmetics tz's post 19/05/2026

Kuna mengi yanaendelea kwenye ngozi yako hasa usoni ikiwa majukumu yako yanakutana na mionzi ya jua (UV).

Ni kweli tunatumia cleanser nzuri, tonner nzuri, serum nzuri na moisturizer inayofaa kwa ngozi yako, je Sunscreen ume zingatia? Ni mhimu sana kuzingatia Sunscreen kulingana na mazingira yako ya kazi na aina ya ngozi yako. Tumia Sunscreen yenye SPF 30 (Sun Protection Factor, kiwango cha ulinzi dhidi ya jua) kwa matumizi ya kawaida ya kila siku. LAKINI,

Ikiwa majukumu yako yanahusisha kushinda kwenye mwanga wa jua kwa muda unaozidi wastani wa saa moja kwa siju, basi unahitaji sunscreen isiyopungua SPF 50.

Na k**a utakaa juani kwa zaidi ya saa 4 au kutwa nzima, basi hii SAAM Sunscreen yenye SPF 60 ni chaguo lako.

Inapatikana hapa I-LINK COSMETICS. Karibu ulinde uso wako dhidi ya mionzi mikali ya jua. Dumisha tabasamu lako kila siku.

12/05/2026

+WIX+ ADVANCED - BRIGHTEN+HYBRIC Youth Restoring Serum ni ANTI AGING nzuri sana na nyepesi ya kung'arisha ngozi hafifu, kupunguza mistari/mikunjo midogo na ile ya uzee, pia inalainisha ngozi kwa haraka, na kusababisha mwonekano mzuri zaidi na wa ujana. Inatumika kufifisha madoa meusi, kulainisha umbile lisilo sawa, na kurekebisha ngozi kavu na iliyochoka.

Inapatikana I-LINK COSMETICS kwa 25,000/= tu.

Delivery ni free ndani ya Geita mjini. Agiza sasa upate bidhaa halisi.

27/04/2026

Wix Sunscreen SPF 50+ ni Kinga yenye ulinzi thabiti wa uso (ngozi) dhidi ya mionzi ya jua (UVA & UVB) Huzuia kuungua na jua, kuzeeka mapema (mikunjo), na madoa meusi huku ikilainisha ngozi bila kuacha rangi nyeupe au mabaki ya mafuta. Inafaa kwa aina zote za ngozi.

Jipatie bidhaa halisi hapa I-LINK COSMETICS kwa Tsh 25,000 =

26/04/2026

+WIX+ ADVANCED - BRIGHTEN+HYBRIC Youth Restoring Serum ni ANTI AGING nzuri sana na nyepesi ya kung'arisha ngozi hafifu, kupunguza mistari/mikunjo mdogo na ile ya uzee, pia inalainisha ngozi kwa haraka, na kusababisha mwonekano mzuri zaidi na wa ujana. Inatumika kufifisha madoa meusi, kulainisha umbile lisilo sawa, na kurekebisha ngozi kavu na iliyochoka.

Inapatikana I-LINK COSMETICS kwa 25,000/= tu.

Delivery ni free ndani ya Geita mjini. Agiza sasa upate bidhaa halisi.

26/04/2026

+WIX+ ADVANCED - BRIGHTEN+HYBRIC Youth Restoring Serum ni seramu nzuri na nyepesi ya kung'arisha ngozi hafifu, kupunguza mistari/mikunjo mdogo na ile ya uzee, pia inalainisha ngozi kwa haraka, na kusababisha mwonekano mzuri zaidi na wa ujana. Inatumika kufifisha madoa meusi, kulainisha umbile lisilo sawa, na kurekebisha ngozi kavu na iliyochoka.

Sasa inapatikana I-LINK COSMETICS kwa 25,000/= tu.

Delivery ni free ndani ya Geita mjini. Agiza sasa upate bidhaa halisi.

Photos from I-Link Cosmetics tz's post 19/04/2026

Hii ni lotion nzuri sana ambayo haina greasy na ni maalumu kwa ajili ya kuondoa Stretch Marks (Michilizi) mwilini. Huifanya ngozi yako ikae na unyevu mpaka saa 48, Ni rafiki kwa wajawazito ikiwa michilizi iko tumboni huifanya ngozi ya tumbo lako iwe na mvuto na ling'ae hata baada ya kujifungua! Itumie na ulete nuru ya Urembo wako!

19/04/2026

Kwa sabuni nzito, yenye ubora na povu jingi! Kwa matumizi ya saloon (shampoo) na matumizi yote ya nyumbani. Karibu uchukue bidhaa hii kwa Tsh 10,000 tu kwa lita 5.

19/04/2026

Sabuni ya Kojic ni sabuni kutoka Thailand, yenye Mchanganyiko wa asidi asilia ya Kojic na maziwa ya mchele yenye lishe ili kupunguza madoa meusi (dark sports), makovu ya chunusi, na rangi isiyo sawa ya ngozi huku ikilainisha, kutuliza, na kutoa ulinzi dhidi ya vioksidishaji. Hupunguza kwa ufanisi uzalishaji wa melanini, hupambana na dalili za kuzeeka (Anti-aging), na husaidia kusafisha ngozi inayokabiliwa na chunusi, na kusababisha ngozi kuwa angavu zaidi, yenye kung'aa zaidi, na laini zaidi.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Geita?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address

�I-LINK COSMETICS�, Tupo Geita Mjini, Miti Mirefu, Makutano Ya Barabara Inayotoka Gold Stone Hotel Na Ile Inayotoka Luns Hotel
Geita
30101

Opening Hours

Monday 08:00 - 21:00
Tuesday 08:00 - 21:00
Wednesday 08:00 - 21:00
Thursday 08:00 - 21:00
Friday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 21:00